KABIDI BODO
Senior Member
- Jan 19, 2017
- 184
- 252
Bodi ya mikopo ilitoa siku 14 kwa bodi ya mikopo kuacha kukata asilimia 15% kwa wafanyakazi na kurudisha pesa iliyokatwa zaidi (7%) kwani hapo mwanzo makato yalikua ni 8% tu..
Kitu kingine ni hili swala la retantion fee, naona haliko sawa kabisa..
Hivi TUCTA walikua serious au wanasubiri mei mosi ndio waseme..? 2% ya michango wanayokatwa wafanyakazi ni kwa lengo la kukipa nguvu chama cha wafanyakazi.. cha kushangaza chama cha wafanyakazi Tanzania kipo kwa ajili ya masilahi ya wachache na sio wafanyakazi..
Labda TLS mpya itatusaidia (nawaza tu), maana hili linawagusa mpaka wanasheria ambao nashangaa na wao wamekuwa kimya..