Watu wanatoka kabila moja,mmoja ni ameketi kwenye kiti cha enzi kikubwa,mwingine kiti cha enzi cha Kanda kuu ya biashara.Mwingine kanisani.Hivi hawa watu mwaka mmoja tu wanatuvuruga namna hii ina maana kati yao hamna mwenye hekima!!?Kama wameshindwa kukaa na kuzungumza hata kwa lugha ya kabla lao wakaelewana,unafkiri wake zao na watoto wao wanapata shida kiasi gani!!?Hivi ambao wanafanya kazi karibu nao wanapata shida kiasi gani?Hii ni ishara kwamba miungu ndo inawatumia hawa watu kutunyima furaha hadi tumeshika nafasi karibia na mwisho kati ya mataifa yasiyo na furaha.Hivi mnakumbuka yule aliyeingiza mbwa bungeni?hap kuna kitu nyuma ya pazia cha kujifunza.Ee Mungu uturehemu.