Msaana wa kutengeneza blog

kidunula1

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
6,305
6,341
Salamu kwenu wakuu

Kichwa hapo juu kinajieleza, naomba kupatiwa msaada wa kutengeneza blog ya taasisi(shule) ili kurahisisha upatikanaji wa taarifa kwa wazazi na watu wengine. Naomba kujulishwa hatua za kupita mpaka kufikia mwisho wa utengenezaji wa hiyo blog. Natanguliza shukrani!!
 
Back
Top Bottom