huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,519
- 1,462
Habari wanajamvi.....
Kumekuwa na tuhuma dhidi ya Makonda kuivamia Clouds TV siku ya ijumaa kwa kuwalazimisha shilawadu kurusha story za Gwajima na Mwanamke aliyezaa nae according to taarifa ingawa sisi wengine hatuna uhakika kama hiyo taarifa ina ukweli ndani yake....
Kwanza kabisa,nilikuwa najiuliza why Clouds TV? kwann avamie clouds tv,what's is the reason behind?
Je issue zake binafsi ndo imemfanya avamie media? nimejitafakri vya kutosha najaribu kuvuta concept lakn nimeshindwa kuamini kama kweli ilikuwa ni issue ya ushilawadu tu,siamini siamini na siamini
Clouds walikuwa bega kwa bega na Makonda,ziara nyingi za kiserikali za Makonda zilikuwa zinarushwa na Clouds Tv badala ya TBC,walikuwa wanampamba sana kiasi kwamba Mh anapiga cm directly,
Clouds walikuwa wanampamba sana Makonda.....
Ukiamua kumfuga chatu hakikisha una chakula cha kutosha ndani otherwise atakugeuka,hichi ndo kilichotokea kwa Clouds chatu amewauma wameanza kulialia...
Ukijipendekeza sana kwa mtu lazima Yule mtu atakuumiza.
...
Clouds media group jitafakarini,then mjisahihishe.
.