Kiwanja unacho!, inaategemea na standards mkuuJamani kama heading inavyo jieleza naweza jenga kanyumba simple ka vyumba viwili sitting room na choo na bafu kwa milioni 12 naomba kujua kutoka kwa wataalamu
Aisee hongera sana,ujenzi huwa ni mtihani sana wakati mwingine.Napenda kujua mkuu mbao na bati umevipata wapi ili na mimi niende huko maana mimi fundi wangu ananiambia kupaua tu,nikimaanisha mbao na bati niandae Sh 10million.Of course nyumba ina underground yenye vyumba viwili vya kulala kimoja kikiwa ni master,jiko,sebule na public toilet.Juu inavyo vyumba vinne vya kulala ikiwamo master,sebule,dinning,jiko na store.Madale mkuu nataka nijenge hivyo niachane na kutoa kodi kwa wanaume wenzangu kisha baadae nijenge nyumba kubwa nikiwa hapo hapo kiwanja ukubwa ni nusu heka
Yap kiwanja kipo madale
View attachment 484407
Hiyo hapo ina room 3 moja master ina choo cha public Sebule dining na jiko mpaka kufikia hapo nilimaliza kama 14 milion. kwa pesa yako hiyo unajenga na kuhamia kabisa mkuu, Hongera sana