Magu,"You can force people to agree, but never can you force them to believe"

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,588
11,668
Ukiwa Baba Mkali kwa watoto wako, lakini kuna mtoto mmoja anafanya ufala halafu unakaa kimya kisa ni mtoto pendwa, wale watoto wengine watakudharau sana. Watakuwa wanakubali amri zako kwa sababau ya woga na sio heshima.

Utaishia kuwalazimisha wakukubalie, lakini huwezi kuwalazimisha wakuamini.

"You can force people to agree, but never can you force them to believe"
 
Vipi unauza madawa mkuu?
 
Back
Top Bottom