Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

habari ndugu zangu naomba msaada wa kujua umuhimu wa kusoma nje ya nchi lakini kwa nchi kama za africa au karibu na TZ na kama unasomea maswala ya afya
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Vyombo vya Habari vya ITV na Radio One vimesusia habari ya Mh. Nape Nnauye kutumbuliwa. This is good news!
4 Reactions
47 Replies
9K Views
Ulianza uongozi wako kwa kuonyesha wewe uko safi, mtetea wanyonge na mkweli. Mara nyingi ulisema kwamba "mkweli ni mpenzi wa mungu". Sasa baada ya takriban mwaka umesahaanza uongo na fake...
0 Reactions
2 Replies
877 Views
Wakili msomi Joseph Kinango amesema tamko la Waziri Mwakyembe kuwa ataifuta TLS ni batili na halina mashiko kisheria. Kwa lugha ya kisheria "Its null and void abinitio" yani ni tamko batili hata...
28 Reactions
116 Replies
11K Views
Kajiswali tu kwa wanablog kuhusu Sunction!!!! Naona matamko kila kona tumemsusa tumemsusa hatujui wala hatuendi ktk shughuli au wito wake!! Je Kwa umoja wa wana Blog na nyie mtamsusia huyo...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Bishara zimedoda,hali tete kila kona ya nchi hadi sekta ya usafirishaji Kwenye mambo ya kinywaji ndo vichekesho,ma bar yanfungwa,hotel zimefulia hata vile vibanda vya mtaani vilivyokuwa vinapiga...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Wasomi wa Tanzania wako obsessive sana na Uprofesa. Profesa ni cheo kinachotokana na kazi ya mtu na sio sifa ya kitaaluma, hakuna mtu anasoma kua profesa, kiwango cha elimu cha juu duniani ni...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Tukio la Clouds ambako ndiyo habari ya mjini kwa wiki hii limezua mambo mengi sana,maana kila mmoja anaongea anachojisikia kuongea kiasi kutojua kipi ni kipi haswa. Kwanza ni tofauti ya taarifa...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Ki ukweli kabisa raisi mtaafu wa awamu ya nne ndg. J. Kikwete siasa za nchi yake anaziweza, ukikaa na ukikumbuka jinsi alivyoendesha nchi kwa miaka kumi utaelewa kuwa siasa ilikuwa damu kwake...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana JF, naamini hapo Tanzania mpo salama poleni kwa majukumu na siasa zinazokang'anya kidogo ila ndiyo kukua kwa utashi wa wananchi ili kufanya maamuzi sahihi kila itokeapo nafasi kama hiyo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hivi mfano mgombea Urais wa Chuo Kikuu ambaye anajulikana kabisa kuwa anautaka Uongozi huo kwa kutoa rushwa lakini anajulikana pia kuwa ni Muungwana kwa wenzake na mpinzani wake ambaye ana sifa ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa kweli hawa watu wangeweza kumtumbua yule Askofu anayeongeaga na familia yake wasingesita ila mamlaka yao haiwaruhusu vinginevyo wangeshamtumbua . Kwa hiyo Gwajima hatumbuliki na ndio maana...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau naandika huku nikiwa na machungu moyoni.Wakati nimeamaliza Kidato cha 4 Kwiro sekondari Morogoro mwaka 2002 nilipata Division 2 ya pointi 18,lakini nikaandikiwa nimepata div 3 eti kwasababu...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Huko nyuma nilikuwa nikipenda sana ujengaji wake wa hoja hasa katika masuala mazima ya Sheria na Katiba nchini Tanzania ila kwa bahati mbaya mno matukio mawili ya hivi karibuni tu yamenifanya...
7 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana bodi historia kweli hujirudia kuna mifano mingi ya kuonyesha kwamba mwosha kumbe nae huoshwa. Hapa nitatoa miwili tu. 1. Huyu Rais Buhari wa sasa aliwahi kuipindua serikali halali ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kijana mmoja mkaazi Wa usseri rombo mkoani Kilimanjaro ameonekana na wazazi wake hatimae kupelekwa kanisani baada ya kuonekana na wazazi wake ... kijana huyu alifariki tarehe 27/12/2016 alikuwa...
1 Reactions
54 Replies
11K Views
Wanabodi kama unatumia usafiri wa mabasi ya UDART na ushawahi Kupandia basi maeneo ya Gerezani terminal nazani ushapata karaha ya kuscan ticket yako muda mrefu baada ya kununua pale terminal...
0 Reactions
0 Replies
729 Views
Tofauti na Gwajima...ambae ni muathirika mkubwa katika swal hili....wako wapi viongozi wengine wa dini ambao siku zoote wamekuwa wakijifanya mstari wa mbele kutetea maovu pindi yanapoijitokeza?
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Anaandika Mbunge wa Tarime John Heche Kipindi kama hiki Watanzania wote tunatakiwa kuungana bila kujali itikadi,rangi wala kabila kupinga watu wawili kuendesha nchi yetu kama mali yao binafsi, kwa...
7 Reactions
31 Replies
5K Views
Huyu jamaa angetakiwa aitwe nabii kwa alichotabiri kwenye kitabu hiki takribani miaaka mingi iliyopita alizungumzia Mjumbe mmoja kutoka kaskazini kwenye serikali ya kusadikika ambaye alikua...
2 Reactions
9 Replies
15K Views
Back
Top Bottom