Itzmusacmb
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 1,531
- 1,134

Wanabodi kama unatumia usafiri wa mabasi ya UDART na ushawahi Kupandia basi maeneo ya Gerezani terminal nazani ushapata karaha ya kuscan ticket yako muda mrefu baada ya kununua pale terminal, mitambo ya kuscan tickets inasumbua sana tena sana kiasi cha wahudumu kuamua kutumia TOCHI tena MCHANA kwa ajili ya kuscan tickets ( KAMA PICHA NILIYOWEKA INAVYOONESHA)
Sasa hii maana yke nn?
UDART hawajui?
Kusudi?
Hawataki?
Au nn?