Habari waungwana,
Tanzania ya sasa imekuwa ngumu sana kuita press conference kwa mtu ambae anaeonekana yupo tofauti kidogo na serikali mfano mzuri jana mh Nape alizuiliwa kufanya mkutano lakini...
Jana kulikuwa mambo haya:
1.Nape kutaka kuongea na wanahabari.
2.Nape kuzuiwa kuongea na wanahabari.
3.Nape kutishiwa na bastola.
4.Maulidi kitenge kupambana na anaesadaiwa ni askari hata...
Watu sita wanashikiliwa na Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma za kumuua askari polisi Abdala Chande kwa kumkata na mapanga baada ya kupita katika nyumba inayofanyika biashara ya pombe...
*MTANZANIA ATEKWA BUKAVU - DRC*
Yusuph Athuman Kapanda, mkazi wa Nyakato Jijini Mwanza, ametekwa na waasi nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo. Kapanda na wenzake wametekwa Namoya Site, iliyopo...
Nimekuwa nikiona sana Viongozi wetu mbalimbali wakiwa wanatabasamu sana katika matukio mbalimbali hadi nimejikuta naanza kushawishika kuwa huenda hata roho zao na mioyo yao na yenyewe pia huwa...
Hapa najaribu kuchunguza hapa tulipofikia ni kwa sababu ya vita ya madawa ya kulevya ,tumefikia sasa hata ambao wanatakiwa wale matunda ya nchi hii kama Nape tunawasumbua tena source vita hii Mara...
Hiari Scheme Ni Nini
Ni Skim mahsusi iliyoanzishwa na shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii kwa nia ya kutoa huduma za hifadhi ya jamii kwa watu walio katika sector isiyo rasmi, waliojiajiri...
Nadhani kwa hizi Sinema zilizoanza wiki mbili hapa nchini Tanzania mpaka ile jana ipo haja kwa taasisi ya Utafiti inayoheshimika sana nchini Tanzania kwa sasa TWAWEZA kutufanyia Utafiti Watanzania...
Kwangu nina mbwa namwita Blackjack. Blackjack huwa ni mkali kweli. Yana tukimfungulia akibweka mpaka mbwa za majirani zinapata hofu. Ila huyu blackjack anatabia ya kukimbiza magari. Yani gari...
Habari wanajf bila shaka mtakuwa wazima
Hii nchi kwa sasa naona inepoteza mwelekeo,kulingana na matukio yanayoendelea Mimi napata shaka sana huko mbele tunapoelekea...
Imetokea Geita baada ya dreva huyo kushindwa kupaki roli katika mkao mzuri. Jamaa mmoja akasema sasa mambo gani tena haya ya Bashite unatuletea hapa!!
Ndipo dreva akatoka na panga na wakaanza...
Ukiona punje ya mchele ulioiva (walk) ujue imepitia hatua nyingi na kukoswakoswa na mengi, na fahamu kwamba hilo ni Pando bora .....
Tanzania chini ya mchonga pekee ndio ilikuwa
Tanzania ya maono...
Huyu alikuwa mlezi kwangu, ndiye aliyenitafutia shule wakati namaliza O level ili nianze safari ya kwenda advance level(alikuwa rafiki wa baba yangu mzazi na walishirikiana mengi pamoja na suala...
habari ndugu zangu
naomba msaada wa kujua umuhimu wa kusoma nje ya nchi lakini kwa nchi kama za africa au karibu na TZ na kama unasomea maswala ya afya
Ulianza uongozi wako kwa kuonyesha wewe uko safi, mtetea wanyonge na mkweli. Mara nyingi ulisema kwamba "mkweli ni mpenzi wa mungu". Sasa baada ya takriban mwaka umesahaanza uongo na fake...
Wakili msomi Joseph Kinango amesema tamko la Waziri Mwakyembe kuwa ataifuta TLS ni batili na halina mashiko kisheria. Kwa lugha ya kisheria "Its null and void abinitio" yani ni tamko batili hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.