Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baba akofu Gwajima, Nikikaa wiki bila kukusikia sijisikii amani. Naomba neno moja toka kwako leo na roho yangu itapona.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sasa hivi kumekuweko ongezeko la makanisa ya huduma za kinabii ambayo yanatumia visaidizi vya imani kama mafuta ya upako vitambaa vya upako maji ya upako.ambapo hivi vitu si vigeni katika biblia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
1. Kenge Kenge na mamba wanafanana sana kwa mambo mbalimbali, Kenge hupendelea kula wanyama wadogo wadogo, mayai ya ndege na mamba, na wadudu wa aina mbalimbali. Kwa umbile Kenge ni mdogo...
4 Reactions
6 Replies
12K Views
Habari zenu, samahanini wandugu mm ni kijana wa miaka 20, nna tatizo la kuongezeka kwa damu mara kwa mara, lilianza pindi nilpodonate damu, kwa sasa sitaki kutoa tena, ushaur wenu ni njia gani...
1 Reactions
0 Replies
5K Views
Walipo watumiaji Wa smartphone 20, 18 wanatumia tecno wakati asilimia iliyobaki ni ya Huawei, itel, apple. Je, sababu ni kukimbia bei au upatikanaji wa tecno kirahisi ?
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Kesi ya Richmond tuliifanya kwa roho safi kwa kupiga magoti kwa Mungu na tuliifanya haki kwa kila mtu, tulichoamua hata uniambie kesho asubuhi nirudie tena hata kama haitabadilika itakuwa...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Naomba kuuliza ivi tatizo la Mh Nape kutenguliwa nini ni? Tunaelekea wapi kama taifa?
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna taarifa ya kizushi zinazosambazwa kwamba Clouds Media Group inadaiwa malimbikizo ya kodi na wamepokea notisi kutoka Mamlaka ya Mapato TRA na inatakiwa kulipa malimbikizo hayo. Taarifa hizo...
3 Reactions
58 Replies
7K Views
bola kufungwa jela tu maana mtu wa chemistry wapi na wapi kuongoza kijiji?
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari waungwana. Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa kipindi cha country and soul kinachorushwa na radio ya TBC FM kila siku za jumapili kuanzia saa 3 hadi saa 6 mchana. Lakini kwa wiki mbili za...
1 Reactions
1 Replies
750 Views
Naomba msaada kuhusu maisha ya Mh. Harriso Mwakyembe ktk uandishi pia vitabu alivyoandika. Nisaidien pia kufaham mtazamo wake kwa ujumla ktk vitabu hivyo.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ujumbe kwa watawala
0 Reactions
4 Replies
886 Views
Tukiweka mbali wale ombaomba tuliowazoea Barabarani,kuna kundi lingine linakuja kwa kasi na kukua hasa katika jamii yetu la vijana ambao wana nguvu za kutosha Tu na maarifa lakini wameshazoea na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwenu, Waandishi wa Habari, Ni bora vyombo vya habari msusie kuandika habari za Mh.Makonda watu tupumue ila Dunia na WaTanzania wote tumejua Vyombo vya Habari ndio adui wa Maendeleo ya Nchi yetu...
1 Reactions
4 Replies
820 Views
Hii ni kero kubwa hapa Morogoro mjini. Kwa takribani mwezi mmoja sasa sisi wakazi wa Morogoro majumbani mwetu tunapata maji machafu na yenye harufu kali mithili ya maji ya kwenye chemba za...
3 Reactions
69 Replies
8K Views
Habari wanajamvi? Miezi michache iliyopita kampuni ya usafiri wa anga hapa nchini Tanzania FastJet ilisitisha matumizi ya ndege za Airbus A319 na kuamua kutumia ndege ndogo za Embraer E190 kwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Anaandika #Afande_Sele "Na kama Bashite kafanya uvamizi Atakuwa mfano wa TUMBILI aliye maliza kurukia miti sasa ameamua kurukia Mwili wa anae mfuga. Na Uncle kushupaza Shingo kataka hili huwenda...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Sijui kwa nini kuna dhana mbaya sana kuhusu watu wa mkoa wa mara. Niseme wazi kabisa kua kwetu ni mkoa wa mara, mkoa tajiri wa rasilimali nadhani kuliko mkoa wowote Tanganyika. Mkoa wa mara una...
3 Reactions
24 Replies
6K Views
Haya ni baadhi tu ya maeneo
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom