Tuliweka Matumaini Kwako Rais

Scarlet Pimpernel

JF-Expert Member
Feb 22, 2017
576
402
Ulianza uongozi wako kwa kuonyesha wewe uko safi, mtetea wanyonge na mkweli. Mara nyingi ulisema kwamba "mkweli ni mpenzi wa mungu". Sasa baada ya takriban mwaka umesahaanza uongo na fake political stunts za bandarini ili kutupelekesha. Wewe sasa ndio unaonea wananchi kwa kupitia kibaraka wako Bashite

We are disappointed hasa kwa sababu tuliweka matumaini makubwa kwako Rais.
 
Hakuna matumaini wakati walishaimba ccm ni ile ile oooh ni ile ile.! what do you expect? nothing new.
 
Back
Top Bottom