Umoja wa wana Blog Tanzania hawajamsusia Mh Paul Makonda kama Wanahabari wengine?

MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,726
3,358
Kajiswali tu kwa wanablog kuhusu Sunction!!!!

Naona matamko kila kona tumemsusa tumemsusa hatujui wala hatuendi ktk shughuli au wito wake!!

Je Kwa umoja wa wana Blog na nyie mtamsusia huyo Commando Paul Makonda aliyeamua kupambana na hila zote za kila adui toka upande zote 4 za dunia ili kuokoa mkoa wa Dar??
 
sis.kma cheucmedia tunaunga mkono mgomo cjui wenzangu
 
Kajiswali tu kwa wanablog kuhusu Sunction!!!!

Naona matamko kila kona tumemsusa tumemsusa hatujui wala hatuendi ktk shughuli au wito wake!!

Je Kwa umoja wa wana Blog na nyie mtamsusia huyo Commando Paul Makonda aliyeamua kupambana na hila zote za kila adui toka upande zote 4 za dunia ili kuokoa mkoa wa Dar??
Kwanza sijui neno sunction linatokana na lugha ipi...! Pili nimepitia blog nyingi sijakutana na hilo jina, nakuta tu jina Daud Bashite ambaye inadaiwa anatumia jina la kughushi kama RC wa Dar huku akikingiwa kifua na anayedaiwa kuwa ni mshikaji wake. Kama ziko blog hazijamsusa huyo uliyemtaja labda sijazitembelea kwa sababu huenda ni za kipuuzi.
 
Tunapiga kazi kama kawaida. Makonda anatupa traffic ya kutosha

Haileti maana kutomuandika.Tunajali dollar tu za mjomba Google
 
Back
Top Bottom