Wako wapi Viongozi wa dini kuhusu hili la Uvamizi wa Clouds!

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,632
2,413
Tofauti na Gwajima...ambae ni muathirika mkubwa katika swal hili....wako wapi viongozi wengine wa dini ambao siku zoote wamekuwa wakijifanya mstari wa mbele kutetea maovu pindi yanapoijitokeza?
 
Hili limenifanya kupoteza imani nao sana wengine si walikuwa kwenye maadhimisho yake ya mwaka mmoja!
Wanajiita kamati ya amani sijiu.....

Sasa sijui hata wakitoka watasema nini?

Kweli mungu anajua kuwaumbua wanafiki
 
Hakuna viongozi wa Dini Tanzania. Wengi ni wahuni tu!

  1. Bakwata wamekaa kimya kwa ajili Makonda aliwajengea Makao makuu
  2. Mzee wa Upako yuko kimya kwa ajili MAGUFULI alihudhuria kanisani kwake na kuahidi kujenga barabara ya kanisani hapo.
  3. Pengo anaogopa MAGUFULI ni mkatoliki mwenzie na rafiki yake wa karibu!
Taifa limeshajichokea hili!
 
Tofauti na Gwajima...ambae ni muathirika mkubwa katika swal hili....wako wapi viongozi wengine wa dini ambao siku zoote wamekuwa wakijifanya mstari wa mbele kutetea maovu pindi yanapoijitokeza?
Hao Ndo Sitaki hata kuwasikia Mimi. Miaka yote Kabla na kila baada ya uchaguzi utasikia huyu ni chaguo la mungu, sasa huyu wa sasa Hivi Sijui ni chaguo la mavampire maana nashindwa kuelewa mm
 
Hakuna viongozi wa Dini Tanzania. Wengi ni wahuni tu!

  1. Bakwata wamekaa kimya kwa ajili Makonda aliwajengea Makao makuu
  2. Mzee wa Upako yuko kimya kwa ajili MAGUFULI alihudhuria kanisani kwake na kuahidi kujenga barabara ya kanisani hapo.
  3. Pengo anaogopa MAGUFULI ni mkatoliki mwenzie na rafiki yake wa karibu!
Taifa limeshajichokea hili!
Hahahah njaa tu *****
 
Tofauti na Gwajima...ambae ni muathirika mkubwa katika swal hili....wako wapi viongozi wengine wa dini ambao siku zoote wamekuwa wakijifanya mstari wa mbele kutetea maovu pindi yanapoijitokeza?
Wako kwa Bashite
 
Duh

Unataka wafanyaje!?
 
Back
Top Bottom