Afufuka baada ya kufa miezi miwili iliyopita

Living kereth

Member
Feb 7, 2017
69
55
Kijana mmoja mkaazi Wa usseri rombo mkoani Kilimanjaro ameonekana na wazazi wake hatimae kupelekwa kanisani baada ya kuonekana na wazazi wake ...

kijana huyu alifariki tarehe 27/12/2016 alikuwa anaishi Nairobi nchini Kenya aliporudi Tanzania kuja kuwaona wazazi wake aliugua kichwa alipofika tu home na baada ya hali yake kubadilika na kuwa mbaya wazazi wake walichukua jukumu la kumpeleka kituo cha afya iilichopo usseri ,karume hospital .

Baada kupmwa na daktari alionekana hana maradhi yanayomsumbua ilibidi wachukue transfar kumpeleka huruma hospital hospitali ya wilaya ya Rombo akiwa njiani alifariki dunia ..hatimae wiki iliyopita alionekana lakini haongei ...anawasiliana na watu kwa kutumia maandishi .

juhudi za kwenda kulifukua kaburi bado hazijaanza kutokana na amri ya askofu kutokutoa amri ya kufukua kaburi ...mpaka sasa kijana huyo hajapelekwa nyumbani kutokana taratibu za kufukua kaburi hazijafanikiwa ...asanteni
6a98fd2ed6dcb0c92d682a20f16dd6fc.jpg
7a4a7b9b3b1dee588f88cd99c208221e.jpg
3a337e771134e3f4e76a50e0f500d97a.jpg
8ae025ba633cfede619c9232893f5efa.jpg
 
Huyo aliondolewa tu ktk hali ya kuonekana na binadamu wote na akapelekwa kwenye hali ya kuonekanwa na vigagula peke yao
 
moja ya vtu vnavyofanya afrika yetu isiendelee ni hivi vtu, false beliefs na highly degree of ignorance,............so sad
 
Kama na muona kuna bwana anamtolea macho na udenda kumshuka bonge la dili limempitia pembeni.

Na washawasha!
 
Back
Top Bottom