Gwajima hatumbuliki uaskofu?

Gwajima hatumbuliki uaskofu?

Jc Simba

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
300
Reaction score
427
Kwa kweli hawa watu wangeweza kumtumbua yule Askofu anayeongeaga na familia yake wasingesita ila mamlaka yao haiwaruhusu vinginevyo wangeshamtumbua .

Kwa hiyo Gwajima hatumbuliki na ndio maana bado jumapili ijayo ataendelea kusisitiza suala la vyeti kuhakikiwa Watanzania tujiridhishe na watu wanaolipwa kodi zetu.

Vyeti kwanza mengine baadae
 
Hahahaaa huyu m kolomije ni shida..hivi leo keshaenda efm?
 
Hahahaaa huyu m kolomije ni shida..hivi leo keshaenda efm?
Tayari kashafika huko na akasema yeye ndio chanzo cha mtumbuo Wa Nape maana walitaka kumuundia Zengwe ila ndio ikawa hivyo ameuliza tu ni nani huko nyuma ya huo utumbuaji?
 
Back
Top Bottom