John Heche: Wote tunatakiwa kuungana bila kujali itikadi, rangi wala kabila kupinga watu wawili

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Anaandika Mbunge wa Tarime John Heche
Kipindi kama hiki Watanzania wote tunatakiwa kuungana bila kujali itikadi,rangi wala kabila kupinga watu wawili kuendesha nchi yetu kama mali yao binafsi, kwa mara ya kwanza nakupongeza sana Mh Nape kwa kukataa kupiga magoti na kutetea uovu.Umeonesha kwamba hutaki kujinafikisha kwasababu ya cheo. Karibu back bench tuungane kusimamia serikali umoja ni nguvu.
My take ===
Watanzania wengi hawakuelewa lengo la operesheni [HASHTAG]#UKUTA[/HASHTAG] lilikuwa ni kupinga mfumo wa udikteta kwenye nchi yetu nadhani kwa sasa wanaanza kuelewa vita hii kupinga udikteta inatakiwa kuunga mkono kwa kila mtanzania mwenye akili timamu
 
Chadema kwa unafki kama samaki na maji!
Watanzania wengi hawakuelewa lengo la operesheni [HASHTAG]#UKUTA[/HASHTAG] lilikuwa ni kupinga mfumo wa udikteta kwenye nchi yetu nadhani kwa sasa wanaanza kuelewa vita hii kupinga udikteta inatakiwa kuunga mkono kwa kila mtanzania mwenye akili timamu
 
Aanze yeye kuandamana na awe mstari wa mbele yeye na mbowe, na ss tutafuata,

Pumbav kabisa
 
Nape ameshageuka kuwa malaika mkuu machoni mwa CHADEMA.....

Tena ameitwa mpigania uhuru wa habari na demokrasia.....

Dah!.....

Kuishi kwingi ni kuona mengi....

Mungu nipe maisha marefu nizidi kushuhudia mengi.....
 
Hili ndilo huwa linawakosti wapinzani kutembea na matukio.! 2020 wataambiwa watumia madawa ya kulevya.
 
Back
Top Bottom