Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wafanyakazi wa serikali hasa wale wa Tamisemi,vipi haki zenu za kisheria mwaka mmepata? Wahasibu hapo vipi? Madaktari hapo vipi? Maafisa kilimo hapo vipi? Walimu hapo vipi? Wengine endelezeni..
0 Reactions
0 Replies
714 Views
Nawaza tu, kila mhe. akipata taarifa anawahi eneo la tukio mara moja na kukuta uozo. Najiuliza tu, hii Dsm ndio wapiga dili wengi vipi akihamia Dom hizi hatua zitaendeleaje? Au ndio wapiga dili...
0 Reactions
2 Replies
803 Views
The movie is coming soon. Big up CHINDO MAN
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Msanii Mrisho mpoto amedai viongozi kwa sasa wanatengeneza matukio ambayo yanapata headlines kiasi kwamba nyimbo za wasanii mpya zinazotoka hazipati nafasi, ni matukio baada ya matukio..
2 Reactions
15 Replies
2K Views
March 24, 2017 Jeshi la Polisi Dodoma likiongozwa na kamishna wa Polisi mkoa Lazaro Mambosasa limewakamata wafanyabishara wawili wakiwa na shehena za vinywaji aina ya viroba vyenye thamani ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
FOR IMMEDIATE RELEASE ́CodeBus Africa ́ arrives in Dar es Salaam Young computer coders tour the African continent to celebrate 100 years of Finland. Education and technology organizations from...
1 Reactions
0 Replies
696 Views
Wana jf,habarini kumekuwa na madaliko ya bei za vifurushi hivi jaribuni,, kuanzia vya kupiga mpaka vya kuperuzi mtandaon huku baadh ya mitandao kuonekana ndio wametisha kwa kupunguza...
0 Reactions
1 Replies
862 Views
Baada ya Adam kujua kuwa Eva ni mkewe, je !!alilipa mahari? Kama alilipa mahari alilipa kwa nani? Na kama hakulipa je..hawa wanaolipa mahari waliiga kwa nani??
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwanza kabisa habari zenu wananchi. Kama Mtanzania niishie Dar es Salaam kuna mambo hupaswi yakupite. Wengi walikuwa wakitegemea mheshimiwa Rais kumtupilia mbali Makonda/Bashite ila haijawa kama...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani naomba kujua kama hawa TBC ni channel bado analogue au nao wapo ki- digital? Maana hawapo mubashara kama channels zingine. Wanapitwa hata na Channel za uchochoroni huko. Kwanini nao...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda sasa nyingi za picha zinazo beba title ya thread zinakuwa hazina maudhui yanayofanana na contes za thread husika tatizo nini?.
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Waziri wa mambo ya ndani nchini Tanzania Mwigulu Nchemba ameshutumu kitendo cha askari mmoja kuchomoa bastola na kufyatua risasi? wakati maafisa wa usalama walipokuwa wanajaribu kumzuia aliyekuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tuwekeni vyama pembeni twendeni kwenye haki maana hata rais wetu tuliyempewa na Mungu anasema msema kweli ni mtu wa Mungu Nape anakosa gani mpaka kutumbuliwa?Nape anakosa gani paka kushikiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Bado wanaranda randa kwenye makampuni na kuwarubuni wafanyakazi wapya wajiunge na mfuko wao ilihali wakijua kuwa wameacha kutoa fao la kujitoa hata Kwa wafanyakazi wenye ajira fupi. Nawaasa wote...
25 Reactions
63 Replies
10K Views
Tanzania ninayo ijua mimi si rahisi mtu kuvamia kituo cha habari,si rahisi kunyosheana siraha za moto si rahisi watu kutenda maovui na bado wana kaa madarakani, Nikagundua hii nchi sio ile...
1 Reactions
0 Replies
573 Views
Chama cha wafanyakazi nchini Tanzania kiko kimya juu ya manyanyaso wanayofanyiwa wafanyakazi. Manyanyaso yamekuwa mengi miongoni mwa hayo ni; 1.Makato ya bodi ya mikopo kupanda kutoka 8% mpaka...
1 Reactions
4 Replies
983 Views
Nimepita muda si mrefu nimeona jengo la raha tower linafuka moshi huku watu woote wakiwa wametoka Nje....cha ajabu hakuna gari la zina moto Ova
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Dodoma. Siku chache baada ya ofisa wa Ikulu, Frank Lyimo kufariki dunia baada ya kuumwa na nyuki, Manispaa ya Dodoma imebaini maeneo manne yenye makundi ya nyuki ambayo ni hatari kwa binadamu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mheshimiwa Mwakyembe,.. Ushawahi kujiuliza kwanini umehamishwa wizara A kwenda wizara B? Jamaa kakuhesabia umefeli kwenye Wizara A,. Kwa kosa la vyeti vya kuzaliwa kuwa sifa mojawapo ya kufunga...
1 Reactions
0 Replies
831 Views
Back
Top Bottom