Wakati RC Makonda anakabidhiwa jiji la Dar wakazi wake walikuwa na hofu kubwa ya kushambuliwa na vibaka maarufu kama panyarodi, mkuu huyu wa kaya kafanyakazi ya ziada hadi sasa hadithi ya...
KIJANA TAMBUA VITU VIPYA KILA SIKU
Njia ya kutambua vitu vipya kila siku ni kusoma vitabu sana au kujifunza kila mara chochote unachoona ni kigeni kwako na hapa watu wengi wanaposhindwa ukimwambia...
Salute wanabodi!
Taarifa kutoka Ikulu zinasema kuwa Rais Magufuli ametengua uteuzi wa H.Mwakyembe na kumteua Prof. P.Kabudi kuchukua nafasi yake. Lakini Prof huyu aliteuliwa kuwa mbunge wa bunge...
Serikali ya awamu ya Tano ikiwa katika jitihada za kuirudisha nchi katika mstari,yatupasa tukubali kuwa kila Mtanzania alikosea.
Kila mtu alikosea wether kwa Direct or Indirect,ukiwa ndani ya...
Wakuu nipo maeneo ya Yombo Sigara mkabara na Airport hapa Dar es salaam kuna wingu zito la moto ndani ya uwanja wa ndege kama mnavyoona, aliyekuwepo maeneo hayo ajaribu kutupa maelezo.
=======...
Kwa mtu yeyoye alifuga mbwa itakuwa anawajua vizuri sana hasa mbwa akiwa mkali,
Ukifuga mbwa au ukizoeana nae unaweza ukamchezea vyovyote ili mradi tu usimuidhi, mbwa unaweza hata kumpiga na...
I and my go to a naughty party one day
Them said it' s gonna be eerie there
But when I and my go to a naughty party
I and I was disappointed, yeah
All we could hear there was their crackadoo
All...
Waungwa kichwa cha habari hapo juu cha husika.
Muda mfupi baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu kuna baadhi ya watanzania ambao ni wafia chama, walijaribu kuja na maneno kuntu eti Tanzania...
Wakuu,
Nimejikuta nashindwa kuimba nyimbo ya taifa nakubaki nikihuzunika. Pia nimeshindwa kuimba ile nyingine "Tanzania ×2 nakupenda kwa moyo wote.
Nafsi yangu imegoma kabisa.
Nawasilisha.
Wasalaam wana jamvi.
Wanajamvi jana kwenye taarifa ya habari ITV tulishuhudia Kamanda Sirro akieleza kuwashikilia watuhumiwa wa wizi wa mafuta ya ndege za ATCL tena wakiwemo maaskari, wengi...
Ibaki hivyohivyo kwamba meli imezama rasmi Leo, ukishakula nyama ya mtu, huwezi kuacha. Watajiuliza, sasa sisi mbona tumebaki wenyewe, hapo wataanza kubaguana kwa udini, ukabila, na hata mambo...
Kilichotokea kitakuwa ni kipimo tosha kujuwa... wasanii wetu ni vi.du.du mtu au ni wasanii wenye misimamo..
Mh alijaribu kuwatetea ktk kila kona, bila kujali hata maslai yake binafsi...mpaka...
Wote tunafahamu Kuna mgogoro mkubwa kati ya Serikali ya Kenya na madaktari wazalendo pamoja na chama chao.
Madaktari waneamua kugoma ili kushinikiza matakwa yao na Serikali imegoma kutimiza...
Kuna maisha baada ya hapa!
Umewahi kukataliwa? Kukanwa? Kutoswa? Kuachwa? Na yanayofanana na haya! Kifupi ni ile hali ya kutokukubalika tena! Wengi wanaichukia hali hii, hawaipendi, inawaumiza...
Waafrika alieturoga ametuweza.
Hadi miaka hii bado tunaamini majina ya kizungu ni bora zaidi kuliko majina ya kiafrika.
Sehemu kubwa ya watoto wanaozaliwa wanapewa majina ya kizungu, watu wengi...
Ebu watanzania tujaribu kujifunza hata kwa majirani zetu wa act vipi katika mambo yao, hakuna maendeleo/mabadiliko yanayokuja bila gharama, tukiogopa kuingia gharama basi tutabakia kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.