MR.NOMA
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 339
- 512
Wadau naandika huku nikiwa na machungu moyoni.Wakati nimeamaliza Kidato cha 4 Kwiro sekondari Morogoro mwaka 2002 nilipata Division 2 ya pointi 18,lakini nikaandikiwa nimepata div 3 eti kwasababu tu nilipata F ya hesabu,eti nikapigwa penalty.Sasa nimeona matokeo ya mwaka 2015 wanafunzi walipata div 1 & 2 wakaandikiwa kama matokeo yao yalivyo, huku wamefeli hesabu.Hii imekaaje jamani,hasa katika wakati huu wa uhakiki wa vyeti na wasomi;je sina haki ya kudai Division 2 yangu irudishwe kama ilivyo ili cheti changu kipendeze nisionekane kilaza,nimepata div 3 wakati ukweli nina div 2.hayo hapo chini ni baadhi ya matokeo ya mwaka 2015 ya kidato cha 4 nimeyanakili kama yalivyo toka tovuti ya NECTA.
S0234/0051-F -21 II CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'C' B/KNOWL - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'F'
S0234/0052-F- 21 II CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'C' B/KNOWL - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'C' CHEM - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'F'
Bring back our Scores