Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwenye taarifa za kufa wale waandishi au kuuza gongo mchungaji lusekelo atujuze.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Juzi Gwajima wakati anaongea habari ya gari la Mheshimiwa Makonda T 500 DAR alilodai kapewa na NAS HAULAGE Alitumia kauli hii Nanukuu :Huyu jamaa amemtisha muislam wa watu ampe Ile landruiser...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
hii tabia imekithiri sasa,mara kadhaa nikitembelea viwanja mbalimbali vya burudani nimekutana na hii hali ya udhalilishaji wa muziki wa injili kwakuupiga katika kumbi za starehe,huku raia...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Nimekuwa memba wa JF kwa vipindi tofauti na kwa ID tofauti. Katika ufuatiliaji wangu huu kuna baadhi ya memba washawahi kufanya utabiri wa ajabu na kweli ukatokea; - Lowassa atajiunga ukawa (huu...
4 Reactions
56 Replies
7K Views
Nape kamuombe LOWASSA msamaha faster maisha mengine yaendelee. Mzee wa watu ana hekima sana atakusikiliza. Ili laana yake isiendelee kukutafuna.
0 Reactions
1 Replies
688 Views
Itungwe sheria inayoweka ukomo wa idadi ya mifugo mtu anapaswa kumiliki. Baasi!
0 Reactions
2 Replies
682 Views
Dar es Salaam, Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,Josephat Gwajima amesema kuwa yeye ni sababu kubwa ya kutenguliwa kwa Waziri wa habari,utamaduni,Sanaa na Michezo Nape Nnauye. Akizungumza...
7 Reactions
93 Replies
18K Views
Ndugu wanajamvi, nina dukuduku langu moyoni, nahitaji nimtumie rais barua kwa kuandika na kumuelezea shida yangu. Je ni njia gani rahisi naweza kuitumia ili rais apate barua yangu? Naombeni...
0 Reactions
34 Replies
51K Views
Najaribu kukumbuka ahadi za wakuu wetu kipindi kile cha kampeni.. Zilikuwa tamu sana tujikumbushe kidogo. Babu nywele nyeupe alituahidi vingi, ngoja nimuulize kama bado anazikumbuka au ndo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ilikuwa tarehe 22 march 2017 mishale ya saa 9:30 usiku eneo la mbezi beach mitaa ya kwa zena ......... Nilikwenda kwa zena(mbezi beach) kwa nia ya ku scan documents zangu (vyeti) pale kuna...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
NDUGU ZANGUNI NAOMBA MWENYE MAWASILIANO NA KAMPUNI YOYOTE YA WAUZAJI/WASAMBAZAJI WA VIOO. NAMANISHA VIOO VYA NYUMBA NAHITAJI KUFANYA BIASHARA HIYO. ASANTE SANA
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Kwanza kabisa poleni kwa majukumu wakuu naomba niende moja kwa moja kwa moja kwenye mada... Naombeni ushauri wenu ndugu zangu kuhusu hili swala lililonitokea jana tarehe 23 march ili nijuwe nini...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
habari wanaJF!!!! kama kichwa cha habari kinavyo jieleza na tunajua chakula kikuu kwa watanzania wengi ni ugali wa mahindi. mimi niko mkoa wa mbeya huku bei ya mahindi imepanda sana tena kwa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Noa Kwenda umbali wa km 90 ni hatari Noa zinatakiwa Km zisizozidi 50. SUMATRA angazeni NOA Moshi Tarakea NOA zibaki kama usafiri kama Moshi Mkuu, Au MKuu TArakea Izisidi km 50 Kuwe na Mabasi...
1 Reactions
49 Replies
11K Views
Rais JPM aliruhusu wamachinga yaani biashara ndogo ndogo za mboga, matunda na nafaka na mitumba inaweza kufanyika pembezoni mwa barabara za mijini. Lakini hapa Arusha hao machinga sasa wameingilia...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanabodi nimewaza kwa sauti endapo Mh Rais asipochukua hatua yoyote kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na kuna vithibiti na uchunguzi umefanyika na footprint zipo na hadi sasa Jeshi la Polisi lipo...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Ajali imetokea nduruma darajani, kwa bahati mbaya tumempoteza dada mmoja. Basi limefail break ikagonga daladala. Poleni wote
0 Reactions
14 Replies
10K Views
Chuo hiki kimekuwa kikitumia hela za wanufaika wa mikopo kwa manufaa yao binafsi pale wanapoona inafaa ndipo huzitoa kwa wanafunzi husika. Mfano taarifa kutoka bodi ya mikopo zinaonesha chuo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Unaweza ukamwokota mbwa njiani, kisa umemwona akimbwekea mtu alotaka kumpokonya mtoto andazi.. Mbwa huyo ukaona anafaa kufuga. Ukampeleka kwako, hukujali kelele za majirani kuhusu ushenzi wa mbwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Magazeti yote yameandika kilichomtokea Nape. Ajabu magazeti mawili ya serikali Habari Leo na Uhuru hawajaandika.Front page wameweka habari ya Makontena isiyo na mashiko. Hawa sijui hata Kama...
9 Reactions
50 Replies
5K Views
Back
Top Bottom