GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Nadhani kwa hizi Sinema zilizoanza wiki mbili hapa nchini Tanzania mpaka ile jana ipo haja kwa taasisi ya Utafiti inayoheshimika sana nchini Tanzania kwa sasa TWAWEZA kutufanyia Utafiti Watanzania ili tujue tulipo na tuendako kwani sisi Mangumbaru ( tusiokuwa na uelewa wowote ule ) kwa sasa hatujui nini kinaendelea na cha kufanya pia.
Mtusaidie jamani TWAWEZA na nawaaminia kama siyo kuwakubali mno.
Nawasilisha.
Mtusaidie jamani TWAWEZA na nawaaminia kama siyo kuwakubali mno.
Nawasilisha.