kambagasa
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 2,261
- 1,785
Imetokea Geita baada ya dreva huyo kushindwa kupaki roli katika mkao mzuri. Jamaa mmoja akasema sasa mambo gani tena haya ya Bashite unatuletea hapa!!
Ndipo dreva akatoka na panga na wakaanza kufukuzana na mungu alinusuru baada ya dreva kujikwaa na kuanguka.
Hii imesaidia huyo raia kusalimika na kutokomea kusiko julikana.