Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 93,617
- 113,728
Chanzo: Mwananchi
Umesema kweli mkuuHuyo mkurugenzi soon anatimuliwa, hiyo ishu ya kutopokea ruzuku haijakaa vizuri mkulu hapendi kabisa kusikia vitu negative, anapenda kusifiwa all the time.
Wanakinga gani mpaka wasifukuzwe? acha hizo utaumia, muulize Nape.Wakifukuzwa hao basi na bashite afukuzwe vinginevyo hatukubali huo uonevu
Wewe ndie mwanangu mpendwa wangu niliyependezwa nae msikilizeni yeyeBashite atulie ale mema ya nchi.
Hakuna namna mkuuWewe ndie mwanangu mpendwa wangu niliyependezwa nae msikilizeni yeye
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Safari ya nchi ya ahadiWewe ndie mwanangu mpendwa wangu niliyependezwa nae msikilizeni yeye
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Wakifukuzwa hao basi na bashite afukuzwe vinginevyo hatukubali huo uonevu