Vita madawa ya kulevya yaleta mambo mengi kuwindana kuumbuana,Mleteni Makonda Original tumuone,Achen

emmanuel mhecha

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
933
543
Hapa najaribu kuchunguza hapa tulipofikia ni kwa sababu ya vita ya madawa ya kulevya ,tumefikia sasa hata ambao wanatakiwa wale matunda ya nchi hii kama Nape tunawasumbua tena source vita hii Mara ooh amefeli yule,sasa naomba huyo mnaemjua kuwa Makonda original ajitokeze aseme kuwa ndiye yeye na huyu siyo ni copy ili Mr Presidaa apate kuamua nani Makonda original apewe Mkoa wa Dar,tusije tukapoteza Amani yetu na Wauza madaya ya kulevya wakatucheka
 
Nani kasema mkuu wa mkoa wa Dar lazima aitwe Makonda?
Huyu Bashite kateuliwa kuwa mkuu wa wilaya na kisha mkoa kama yeye bila kujali jina lake. Kama kuna kitu anawapa wanaomteua au anawafanyia wanaomteua anakifanya kama yeye na si jina lake.

Suala la kutumia cheti cha mtu sasa ni mjadala ambao ni kama unafungwa sababu imeshakuwa kama ukweli uliodhihiri. Na bahati nzuri au mbaya, aliyemteua ameamua kuwa bora aipoteze Tanzania yote kuliko kumpoteza huyu mpenzi wa moyo.

It ends there.

The sequelae/consequences of this remain anybody's guess.
 
Back
Top Bottom