Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Kwangu nina mbwa namwita Blackjack. Blackjack huwa ni mkali kweli. Yana tukimfungulia akibweka mpaka mbwa za majirani zinapata hofu. Ila huyu blackjack anatabia ya kukimbiza magari. Yani gari likikatiza mbele ya nyumba yani lazima alibwekee na kulikimbiza lakini halikamati. Huwa najiuliza hivi siku akilikamata atalifanyaje! Naomba niende kwenye mada husika sasa.
Makonda ni mmoja wa wakuu wa mikoa anayependa umaarufu wa hari ya ajabu sikuwai ona. Media zisipo mzungumzia yeye hajisikii raha kabisa.
Hili sakata la madawa ya kulevya ni moja ya zile zingaombwe zake za kujitaftia umaarufu lakini mwisho wa siku hakutakuwa na action yoyote itakayochukuliwa.
Ni kama kile kipindi cha sukari alivyokuwa anakurupua vigogo ila mwisho wa siku hakufanya lolote. Hivyo hivyo kwa mashoga na wavuta shisha.
Vita vya madawa ya kurevya Tanzania sio kwa mkoa momoja tu hapa Tanzania. Haya madawa hayauzwi Dar pekee. Huwezi thibiti madawa ya kulevya dar wakati mikoa ya jirani kama Morogoro bado yanatumika.
Kama kweli makonda anania ya kuthibiti madawa ya kulevya angeshirikiana na wakuu wa mikoa wote ili kuweza kupambana na hili janga. Hii ni danganya toto ya mtu mmoja kujitaftia umaarufu lakini mwisho wa siku atafail tu. Atakurupua watu lakini siku ya mwisho no action will be taken n business as usual.
Mtandao wa madawa ya kulevya Tanzania hauwezi kuthibitiwa na RC tena kada wa CCM hata siku moja.