Ng'egera
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 766
- 419
Habari wanajf bila shaka mtakuwa wazima
Hii nchi kwa sasa naona inepoteza mwelekeo,kulingana na matukio yanayoendelea Mimi napata shaka sana huko mbele tunapoelekea
Tukichukulia matukio ya hivi karibuni,kuanzia sakata la mkuu Wa mkoa Wa dar kuvamia studio na kuchukua clip kwa nguvu ya kumchafua gwajima na kuisambaza,raid kumpongeza kwa jambo hilo ,waziri mwenye dhamana kulaani jambo hilo na rais kuamua kumfukuza Kazi waziri haya tote yanaonyesha uongozi usivyo Wa mashirikiano
Kitu kikubwa ambacho nataka niseme tukio la Jana,baada ya kuona hili jambo la kumfuta kazi amekosea na litakua na mvumo mkubwa kwa wananchi yeye akaamua kutengeneza tukio kingine bandarini la kukamata kontena huu ni upuuzi Wa nchi kuendeshwa kwa matukio