GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,216
Nimekuwa nikiona sana Viongozi wetu mbalimbali wakiwa wanatabasamu sana katika matukio mbalimbali hadi nimejikuta naanza kushawishika kuwa huenda hata roho zao na mioyo yao na yenyewe pia huwa inafuraha hivyo hivyo na kwamba ni Watu wema na wazuri kuanzia ngazi zao za Familia na hata katika Jamii zetu.
Je ni kweli kwamba Matabasamu ya hawa Viongozi wetu yanaendana na roho zao n mioyo yao? Nitashukuru nikijibiwa na Members wenzangu wa JF ambao naamini hata nyie pia wengi wenu huwa mnatabasamu kila mara.
Nawasilisha.