Cha msingi bwana tufanye yetu tu!

Cha msingi bwana tufanye yetu tu!

katokumbi

Senior Member
Joined
May 19, 2012
Posts
195
Reaction score
78
Hatuna haja ya kulalamikia serikali,! Tunabhaja ya kumuomba mungu
 
Hayo yetu ni yepi yasiohusisha hospitali, shule, polisi, matumizi ya ardhi na barabara? Ukiyataja yatafanywa.
 
Kumbe kulalamikiwa hakujaanza leo!? Japo kwa kipindi hiki mambo yamepitiliza.
 
Tufanye yetu bwanaa hao tunaowalalamikia na wao wamezaliwa Bila nguo km cc yaani wamekuja hawana kitu. Sasa tunapokaa tukaanza kuwajadl wakat wao wameshatafuta vya kwao Ni ujinga uliopitiliza. Jiamn achana nao Fanya yk ilimrad huvunji Sheria zao bac utaish maisha mazur mpk utapenda
 
Back
Top Bottom