Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Kuna baadhi ya watu wanaotaka kumtetea makonda kwa kutumia hoja ya utendaji kazi ili wafunike kombe la vyeti fake.
Mi binafsi sioni lolote ambalo makonda kafanya la kusifia mpaka aonekane ni RC bora. Ukweli ni kuwa makonda bila Media couverage hana lolote alilofanya.
Katumia media kujitaftia kiki. Hta sakata la uvamizi wa clauds umetuthibitishia kuwa Jamaa alikuwa akitengeneza matukio kujitaftia Kiki.
Makonda hata uzinduzi wa kibarabara ya 1km tena cha private aliweza kukitaftia media couverage ya hali ya juu.
Hata kwenye swala la madawa numeshatambua alikuwa na lengo la kujinufaisha mwenyewe.
Anayebisha aje aseme kuwa Makonda kama mkuu wa mkoa wa dar amefanya mabadiliko gani ambayo wakuu wa mikoa wengine wameshindwa.