queen of the jungle
JF-Expert Member
- Mar 17, 2017
- 228
- 430
Nimekaa nikatafakari juu ya nchi yangu inavyokwenda kwa sasa kwanza naanza na kumpongeza Mheshimiwa Raisi kwa nia njema aliyonayo kwa watu wake, Raisi wetu hana nia mbaya na sisi watoto wake ni wachache watakao nielewa lakini ana uthubutu mkubwa saana,
katika uzoefu wangu nimegundua kuwa ukiwa kiongozi huwezi kupendwa na wote na unatakiwa kuwa na maamuzi magumu ili kuweza kuiongoza nchi kubwa kama Tanzania ili kuweza kuipatia maendeleo maana hakuna jema uwe mpole au mkali wote ni wabaya uzuri wako unaonekana pale tuu utakapoachia madaraka na kuingia mwingine ndipo hugundua umuhimu wako na kuukumbuka na kuuweka kama reference kwenye post mbalimbali
pamoja na mazuri aliyoonyesha kwetu lakini Mheshimiwa Raisi tunaomba ugeuke nyuma na uangalie juu ya ajira kwa vijana, hali ya maisha ya sasa, tukisema tujiajiri mitaji midogo lakini pia ukitaka kufungua biashara kodi iko juu, bado kodi ya jengo, manispaa, usafi wote wanahitaji uwalipe kwa mwezi hapo bado humjamlipa mfanyakazi ukiangalia hivi unajikuta huwezi kuendelea na mwisho wa siku unafunga duka unabaki nyumbaani
Kelele zoote zinazoongelewa kwenye mitandao ni sababu watu hawana ajira, hawana la kuwaza juu ya jukumu lolote hivyo wanajikuta wanakuwa na muda mwingi wa kuongea umbeya na kufatilia sana mambo ya mitandao lakini akiwa na sehemu ya kushinda kufanya kazi huo muda wa kujadili posti za mange anakosa
Juzi kuna kijana nilikutana naye sehemu akawa analalamika kuwa ana mwaka wa tatu hajapata ajira na yuko kwa wazazi alipata binti wakiwa chuoni wakafanikiwa kuzaa ili baadae waje waoane lakini baada ya kuona hakuna dalili za ajira wameamua watengane kwa muda ili wakipata kipato waendelee kuishi pamoja,
Hii ilinisikitisha saana nikaona jinsi huyu kijana alivyoumia na anavyozidi kuongeza chuki kwa nchi yake kumbe shida sio Raisi tatizo ni hali ngumu ya kimaisha ndo maana watu wakipika hata habari za kumdhalilisha kiongozi yoyote shupavu huwa hazichujwi kwa sababu watu wana hasira zinazosababishwa na ugumu wa maisha matokeo yake wanakubali lolote mradi kupunguza hasira zao
Ombi langu kwa Mheshimiwa ni kwamba njaa ni mbaya saana tunaomba vijana wenye mitaji midogo wawezeshwe au wapewe support hata kama ana wazo lake la maendeleo basi kuwe na sehemu pa kupeleka wazo lake ili aweze kupatiwa msaada kidogo kelele za watanzania zitapungua na tutazidi kukuza kipato cha nchi kwa ujumla