Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,941
- 24,816
Police wa Tanzania bwana. Video ya uvamizi wa RC wa DSM katika kituo cha Clouds Media hawakuiona, video ya mtu aliyemtishia bunduki Mh. Nape Nnauye ilhali alikuwa hana silaha na mikono kaweka mifukoni pia hawakuiona.
Ila wimbo wa Nay wa Mitego wameusikia na wameshamkamata.
Only in Tanzania!
Ila wimbo wa Nay wa Mitego wameusikia na wameshamkamata.
Only in Tanzania!