Umeshajiuliza BASATA wataandikaje barua ya kuuruhusu tena wimbo wa Ney. Maana wameshasema hauna maadili sasa sijui maadili yanapatikana wapi na anayeyapima ni nani? Wakati BASATA wanasema hauna...
Nampongeza rais Magufuli kwa kazi anayofanya ni muhimu na tulihitaji afanye hayo. Lakini jambo moja dogo ninalo juu yake; kuna mambo madogo sana ambayo yeye hatuoni sababu ya kuyajua ama...
*TATIZO LA MFUMO AU MFUMO TATA?*
WATU flani wakati tunaelekea kwenye uchaguzi wa 2015 na hata baada ya uchaguzi walikuwa wanasema Magufuli yuko vizuri lakini tatizo lililopo ni MFUMO.
Wakasema...
Ndugu zangu,naomba msaada wa kujengewa msikiti,eneo tunalo,foundation ipo,matofali yapo,hatuna sment na mabati kwa heshima na taadhima atakayeguswa namuomba inbox kwa kweli.vijana wetu wanazulula...
Wa salaam,
Imeibuka tabia kama si mwenendo wa hovyo kwa wenye Mamlaka/Madaraka ama nyadhifa mbali mbali Nchini kukurupuka na kuchukua ama kutoa matamko au maamuzi 'Mkurupuko' ambayo mara nyingi...
Mh. Rais Leo hii akipokea ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali. Ametoa malalamiko mengi kuhusu rasilimali za nchi zinavyo toroshwa kupelekwa nje nchi wakati sisi wa Tanzania tunabakia masikini...
Waungwana naomba kupewa tafsiri ya kauli ya @Nape kulala siku 28 msituni hadi kuvunja mkono ili CCM irudi madarakani.
Kwani kulikuwa na #Vita?
Au msituni walikuwa wanatafuta mizizi ya kuturoga...
Kutokana na video iliyoanza sambazwa jana kuhusiana na mwanamke anayedai ana mtoto wa gwajima leo kanisan kwa gwajima kutakuwa kumejaa sana.
Watu wameanza kuingia hapa toka asubuh sana wakiwah...
Nianze na BASATA, hawa naona kazi hii hawaiwezi badala ya kula tu mishahara na kodi zetu bora kutumbuliwa tu. Haiwezekani mnashindwa kuchukua hatua stahiki kwa wale wasanii wanaoenda kinyumbe na...
Hili limekuwa tatizo sasa, wazazi mnawapa watoto wenu mizigo bila kujua. Majina yana tabia ya ku-reflect tabia ya mhusika... Mfano mtu anaitwa mashaka, tabu, shida, mawazo,hatia,majuto.
Matokeo...
Natafuta watu wanaojihusisha na usindikaji vyakula vya binadanu lakini,wameshindwa kupata usajiri TFDA,au wamekaguliwa lakini wakashindwa kufikia vigezo,au watu wanaotaka kuanzisha viwanda lakini...
Unapoingia Arusha kama unatokea moshi au uwanja wa ndege KIA ukifika maeneo ya maji ya chai,unakaribishwa na dampo lilopo kwenye barabara kuu ya moshi Arusha badala ya kibao cha karibu...
Habarini wadau
Baada ya sakata la ney wa mitego kukamatwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma ya kutia/kuachia nyimbo yenye utata wa kukashifu uongozi....... pia na kuachiwa kwa madaraka ya RAIS.
NEY...
Naomba kujulishwa kuhusu linalo tokea nchini.
Kila panapo tokea tukio kubwa la kisiasa nchini utaona post nyingi zinazo zungumzia mambo yasiyo shabiana na tukio hilo.
Mfano,utaona post zinahusu...
Kwa upuuzi wenu wa kukalia kujipendekeza kwa watawala sasa mmepata mulichokuwa mnakitafuta. Mmepewa siku Tatu tu za kuomba radhi kwa kuhusika kwenye mchezo mchafu wa kumchafua Gwajima. Ni wakati...
*TATIZO LA MFUMO AU MFUMO TATA?*
WATU flani wakati tunaelekea kwenye uchaguzi wa 2015 na hata baada ya uchaguzi walikuwa wanasema Magufuli yuko vizuri lakini tatizo lililopo ni MFUMO.
Wakasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.