Nyumba zinabomolewa kwa kasi Kariakoo eneo la gerezani

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,067
Ni mtaa wa Gerezani.. Nyumba zote zilizopo karibu na reli zinabomolewa ili kupisha ujenzi wa reli ya kiwango cha kati unaotarajiwa kuanza hivi karibuni..

Miongoni mwa waathirika wakubwa ni pamoja na kituo cha Mafuta cha Gapco kama inavyoonekana pichani..

Bomoa1.jpg
Bomoa2.jpg
 
Gerezani ndio wapi? pale pa mwendo kasi? picha hujaweka
 
Ni mtaa wa Gerezani.. Nyumba zote zilizopo karibu na reli zinabomolewa ili kupisha ujenzi wa reli ya kiwango cha kati unaotarajiwa kuanza hivi karibuni..

Miongoni mwa waathirika wakubwa ni pamoja na kituo cha Mafuta cha Gapco kama inavyoonekana pichani..
tapatalk_1489740281952.jpeg

Mbona hamna picha
 
Huyo alivamia kabisa eneo la reli, hiyo fence na hicho kijumba kavijenga close kweli na reli, hapo kuna mtu alikula mlungula na kama wakichunguza zaidi watakuta hata hicho kiwanja originally hakikutengwa kwa ajili ya reli.
 
Back
Top Bottom