Tunataka ubungo mpya!!

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,666
8,510
Hongera kwa serikali kwa kudhamiria kuleta maendeleo kwa wananchi, hakika mwenye macho haambiwi tazama kila mwenye macho anajione mwenyewe,
Ujenzi wa Barbara za juu ktk makutano ya ubungo hakika yatabadilisha taswira ya jiji letu!

Ni rai yangu sasa wilaya mpya ya ubungo ijipange vilivyo kujenga wilaya ya kisasa iliyo pangika, nasema hivyo kwa kuwa wilaya hii ndio lango kuu la kuingia jijini, stendi kuu ya mabasi ya mikoani ijengwe kibamba, pia tunahitaji hospitali ya wilaya, solo kuu la biashara, kituo kikuu cha Polisi, Na Huduma zote za kibinadamu.
Viongozi wetu changamkeni wananchi tunahitaji kuona maendeleo sio malumbano!!
 
Back
Top Bottom