Ushauri kwa waandishi wa habari

Jimmy George

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
1,733
1,648
Habari wana-JF,

Wakati wa kuapisha viongozi mbalimbali Mhe. Rais aliwapa onyo waandishi wa habari kuwa wanapoandika habari watoe vipaumbele kwa habari zenye tija kwa taifa na akaongeza kuwa msidhani mko huru to that extent,watch out !! kesho wote wakafuata agizo.

Bungeni tulishuhudia ukipitishwa muswada wa sheria ya vyombo vya habari ambayo ki ukweli wengi walilalamika ila muswada ukawa sheria na waandishi mkaamua kufuata pamoja na sheria nyingine za awali. Kitendo cha Rais kuwaambia ni nini cha kuandika wakati nyie mnajua miiko na maadili ya uandishi na wala hamvunji sheria haikuwapasa mkae kimya.

Anaposema waandishi mnaweza kuvunja amani anasahau kuwa hata kauli za viongozi zinaweza kuvunja amani,akisema hamko huru sana wakati mnafuata sheria zote si kitendo cha kukaa kimya. Najua alisema hayo baada ya kuona habari yake haijapewa kipaumbele ikapewa ya Nape akapata hasira.

Ushauri wangu ni kuwa ;
1.Simamieni haki andikeni kile cha ukweli wala msitishike maana kwa kalamu zenu wengi tutasikika.
2. Kiongozi anapowalazimishwa muandike atakavyo msikubali unganeni na kuwa sauti moja kupinga.
3. Epukeni kuandika habari kutetea upande mmoja.
4. Si kila amri ni ya kufuata hata kama inawakandamiza.

Nimechelewa kuandika haya maana tukio limeshapita ila ushauri wangu ni wa maana

HAKI HAIPOTEI INACHELEWESHWA TU
 
Mkuu,watu huku hawapendagi ushauri na ndio maana huna comments,pole.

Angalau mi nimekuwa wa kwanza kucomenti.
 
Habari wana-JF,

Wakati wa kuapisha viongozi mbalimbali Mhe. Rais aliwapa onyo waandishi wa habari kuwa wanapoandika habari watoe vipaumbele kwa habari zenye tija kwa taifa na akaongeza kuwa msidhani mko huru to that extent,watch out !! kesho wote wakafuata agizo.

Bungeni tulishuhudia ukipitishwa muswada wa sheria ya vyombo vya habari ambayo ki ukweli wengi walilalamika ila muswada ukawa sheria na waandishi mkaamua kufuata pamoja na sheria nyingine za awali. Kitendo cha Rais kuwaambia ni nini cha kuandika wakati nyie mnajua miiko na maadili ya uandishi na wala hamvunji sheria haikuwapasa mkae kimya. Anaposema waandishi mnaweza kuvunja amani anasahau kuwa hata kauli za viongozi zinaweza kuvunja amani,akisema hamko huru sana wakati mnafuata sheria zote si kitendo cha kukaa kimya. Najua alisema hayo baada ya kuona habari yake haijapewa kipaumbele ikapewa ya Nape akapata hasira.

Ushauri wangu ni kuwa ;
1.Simamieni haki andikeni kile cha ukweli wala msitishike maana kwa kalamu zenu wengi tutasikika.
2. Kiongozi anapowalazimishwa muandike atakavyo msikubali unganeni na kuwa sauti moja kupinga.
3. Epukeni kuandika habari kutetea upande mmoja.
4. Si kila amri ni ya kufuata hata kama inawakandamiza.

Nimechelewa kuandika haya maana tukio limeshapita ila ushauri wangu ni wa maana

HAKI HAIPOTEI INACHELEWESHWA TU
Wewe ndio mpotoshaji. Labda nikuulize mfano tu si asilia kuna matokeo mawili
(1) Diamond na Zari wamtembelea Waziri wa Zamani kumpa pole na
(2) Kutokana na kujitolea kwa watanzania wanafunzi wote wanakaa juu ya madawati hivyo umakini wa kusoma na kuandika utaongezeka.

Sasa mh. Rais anasema ni vyema kuandika yanayojenga. Sasa kwa mtazamo wako ungeandika no. 1?!?!?!?! badala ya No. 2 ?

Hebu mjiongeze jamani na kuacha kupotosha concept nzima ya Mh. Rais.
 
Back
Top Bottom