Nataka niwashitaki DAWASCO na TANESCO

X_INTELLIGENCE

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
10,344
14,115
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,

Kutokana na sababu zisizoandikika nimeamua mimi mwenyewe kuyapeleka mahakamani mashirika hayo mawili TANESCO na DAWASCO, hivyo nilikuwa napenda sana kama kuna waandishi wa habari mliopo humu tufanye mawasiliano ili kesi ikikaa vizuri tuwahabarishe watanzania uchafu unaofanywa na mashirika hayo.
 
Anza na dawasco kwa kupandisha bill ya maji bila kutoa taarifa yaani wanajiamulia tuu wanavyojisikia
 
Yani dawasco dawasco dawasco ni jipu...... Anza na dawasco manake kuna maeneo watu wanalia shida ya maji kuna ndugu yangu anakaa mitaa ya salasala siku moja waliandamana maji hakuna. ila kuna watu wanapamp maji usiku wanajaza visima vyao wanauza kwenye magari yao ni jipuuuu mkuu anza na dawasco ntakusindikiza
 
Asante mkuu...kwa kuniongezea...
 
Back
Top Bottom