simba45 mkali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,980
- 1,879
Salamu kwenu GT.
Baada ya jumapili iliyopita kuweka wazi cheti cha matokeo ya Paul Makonda na hujuma zake za kumtumia dada kupotosha umma, Dr.Gwajima pamoja na mahubiri,kesho ataendelea kuwafunulia watanzania. Kesho ataweka wazi cheti cha Paul Chris tian mwenyewe ambacho ni cheti alichokitumia Makonda kupatia elimu ya chuo.
Kupitia account yake ya instagram, Askofu Gwajima ametoa dondoo.
Wale wazee fa fa fa fa faaaaa mjiandae kesho kwa vyuma kutoka kwa The Great Pastor ever asiyefumbia wala kupepesa macho dhidi ya maovu na uonevu kwa watanzania dhidi ya genge la wahuni wanaotumia madaraka yao vibaya.
Kesho macho na masikio yote kwenye kanisa la Ufunuo na Uzima.