Sasa ni rasmi hata hawa tuliowathamini watutengeneze vyeti vya kuzaliwa watoto wetu wameanza kufanya dili. Ni wiki ya pili sasa watu wanaambiwa nenda rudi nenda rudi. Tunaomba mamlaka husika, Mkuu...
Africa ni Bara la pili kwa idadi ya watu Duniani baada ya Bara la Asia. Wananchi wengi wa Kiafrika wanapitia maisha magumu kiasi cha wengine kuishia kupata mlo mmoja tu kwa siku. Haihitaji kuwa na...
Marcopolo Andare Class G6
Body likiwa na siti za 2x2 na AC ni tzsh mil_330,000,000/=
Ushuru tzsh mil_ 70,000,000/=
Jumla ni tzsh mil_400,000,000/=
Body la Andare Class siti za 2x2 bila Ac
Body...
Habari wana-jamii forums,
Nimeona kuanzisha uzi huu kwa ajili ya kupeana taarifa ya maeneo hatarishi nyakati za jioni/Usiku ilikuwa na tahadhari.
Mimi nianze na ile barabara ya 'mawasiliano...
1. Julius wa tanzania (R.I.P. Baba wa taifa) na
Julius malema wa Afrika ya kusini
2. Kabwe wa A.C.T, ( R.I.P. kabwe meya wa jiji)
3. Peter kijuakali na peter msigwa n.k.
Mimi zamani nilisoma...
Hello wanajamvi,
Inasemekana kumetokea ajali eneo la RUVU RANCHI,
Ajali hii imehusisha basi la SAFARI NJEMA, lilikua likifanya safari toka DAR kwenda DODOMA.
Hakujaripotiwa taarifa zozote...
WATANZANIA TUACHE KUVAMIA FANI ZA WATU!
Yaani sasa Tanzania yetu imevamiwa na wavamia fani za watu!
Utakuta mwalimu sasa ndiye engineer wa majengo yote ya shule, yaani ni kuleta mafundi kwenda...
Wana jamvi nimeona nilete hoja hii ili tuone na tujadili kama hata sisi Tanzania kama dawa hii itatufaa.
Wanasayansi wamegundua njia ya kukarabati DNA inayohusika na mambo mengi mwilini. ili...
Ni kitu gani kinachokupa hamasa katika kuteda mambo yako?
Watu wengi maisha yetu yamekuwa kila siku katika hali ya kawaida kwasababu tumekuwa hatujui ni kipi ambacho kimekuwa kikitusukuma katika...
Kituo kipya cha Huduma kwa Wateja cha Tigo.#TigoCallCentre
Kituo hiki kipo jengo la Uhsino mkabala na Morroco Square Dar es Salaam karibuni.
Huduma zipatikanazo kwenye Huduma kwa Wateja namba...
Wadau mimi niliwahi mkoa wa Dodoma tangu 1989 na niliondoka 2008 Kwa miaka name ningerudi nimekuta utitiri wa bajaji hadi mji umechafuka nijaribu kuangalia miaka kumi mbele sipati picha.
Hivi ili...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza mabadiliko ya bei za mafuta nchini zitakazoanza kutumika kuanzia kesho, huku mafuta ya petroli yakionekana kushuka.
Bei za...
Hellow Great thinkers heri ya sikuu ya iddi, Nimeona baadhi ya post za watu humu JF wakishangilia mazali ya kupata mademu wenye pesa mob hasa kutoka Senegal, Kongo, na Nigeria. Sasa nimeona ili...
Habari wakuu!! Napata tabu binafs kuamini kua radio tanzania ni redio ya Taifa kwa jinsi wanavyoenda hii ndo redio inyoendeshwa kwa kodi zetu lakini haina faida na ss kwa ss bunge limeanza na...
Leo nimekaa na kuwaza nyimbo gani itatumika na CCM 2020 kipindi cha kampeni
nyimbo ambayo itatupa matumaini Wananchi. 2015 tuliimbiwa CCM ni ileile, tutaisoma namba tukapuuza. Leo namba inasomeka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.