certified mdokozi
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 1,403
- 814
Serekali ndio imefanya wachelewe, kwan watu wa kigoma katika suala la utafutaji ni wapambanaji mnooKigoma ni mji wa kale so usishangae kukuta chochote ambacho baadhi ya miji hakuna.ata hivyo nao wamechelewa sana.
haaaaa haaaaMambo ya kulalishana nje nani anayataka??