Kwanini hamkunikaribisha kwa furaha? Majina yanafananaana jamani

Bashitee

Member
Mar 14, 2017
89
60
1. Julius wa tanzania (R.I.P. Baba wa taifa) na
Julius malema wa Afrika ya kusini
2. Kabwe wa A.C.T, ( R.I.P. kabwe meya wa jiji)
3. Peter kijuakali na peter msigwa n.k.

Mimi zamani nilisoma kitabu chenye jina la Juma mnawajua Juma wangapi huku Tanzania?

Hata mimi hili jina langu linafanana na la jamaa.

Nikaribisheni jamani kwa salamu za busara
Msininyanyapae
 
Aaaaah kubadili jina ulishindwa maana humu wenzio wanatumia ID feki,sasa kama umeona jina litaleta shida umejiita la nn aaaargh.#@
 
Toa vyeti ili tusikunyanyapae. maana tumesikia mnataka kuwaondoa walim wenye division four. wakati wenye zero mnabebwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom