Jamani hii Triz Motel si ya familia ya MangeKimambi hii? Kweli matajiri watoto(kaka zake Mange) wanashindwa kulipa kodi ya Ardhi?
Eneo kubwa sana lile halafu liko barabarani halafu mtu...
Wakuu, nimekuwa napata shida siku ya jumapili asubuhi kuwaandaa watoto kwenda kusali. Mawazo yao yote huwa kwenye kuangalia vipindi vya watoto. Ni vizuri na vinaelimisha huvo napendekeza...
Kiukweli tokea ateuliwe kushika nafasi ya Nape Nnauye Waziri mpya wa Michezo Dkt. Harisson Mwakyembe kila anapokuwa anazungumza na Wanahabari namwona ni ' Mpayukaji ' zaidi badala ya kuwa '...
Picha zinajieleza
Akiwa na Mhe Katibu wa Wizara ya maji
Wakati wengi wanaendekeza propaganda ktk mitandao, watu makini wapo wanachapakazi.
Kelele zooote hatimaye upepo umetulia sasa tunachapa...
Salam wakuu.
Naomba kuuliza taratibu au njia sahihi ya kuuziana gari mtaani kupitia hii mitandao ya kijamii na blogs kama KUPATANA, ZOOM Tanzania jobs etc ili kuepuka kutapeliwa.
Unaanza kutoa...
Leo TBC1 wamekiuka makubaliano ya jukwaa la wahariri kwa kutangaza habari ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam.
Itakumbukwa kuwa Jukwaa la wahariri lilitangaza kutotangaza taarifa za mkuu wa mkoa wa...
Container storage charges at Dar port to be raised
By CHRISTINE AFANDI
Special Correspondent
THE EAST AFRICAN
The Tanzania Ports Authority (TPA) is to increase storage charges for all...
Watu 9 wanahofiwa kufa maji huku wengine 44 wameokolewa baada ya Mashua yao ya uvuvi kuzama nje ya Pwani ya Kisiwa cha Zanzibar.
========
Nine people are missing and 44 have survived after their...
Siyo kitu cha kawaida MTU kwenda mahakamani kwa lengo LA kubadili majina yake na kuamuwa kuyaacha/ kuyakana yale majina ambayo alipewa na wazazi wake. Haiingii akili kabisa itokee mfano Mimi MTU...
Baraza la Sanaa Taifa ‘BATASA’ limerudi tena na kuufungilia wimbo ‘Wapo’ wa Nay wa Mitego kwa madai waliufungia ili kupisha uchunguzi wa kipolisi upite baada ya jeshi hilo kumshikilia rapa huyo...
Akiwa katika ziara ya kutembelea shule ya sekondari Dunda katika muendelezo wa ziara zake maeneo mbalimbali wilayani Bagamoyo, Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo, mh. Majid akiongea na watumishi wa shule...
Kwa aina ya Heshima uliyokuwa nayo hasa iliyotengenezwa vizuri kabisa na Marehemu Baba yako ambaye pia alikuwa ndiyo Baba yetu mpendwa wa Taifa Mwalimu Julius Burito Kambarage Nyerere bila kusahau...
Wanakosa umakini kisa kutawaliwa na kuendekeza ubinafsi.
Kila siku wanahubiri democracy kumbe wenyewe wala hawaijui, wala hawaitaki hiyo democracy. Iweje kwenye uchaguzi wa BUNGE LA AFRIKA...
Kwa mara ya kwanza najitokeza kukuunga mkono raisi Magufuli kwa kukataza kusafirishwa nje ya nchi mchanga ulio na madini mbalimbali hususani dhahabu.
Nimewahi kuchimba na kufanya kazi hapo...
Anaitwa Hassan Mga kijana kutokea Mbeya, anadai mwaka 2003akiwa darasa la tatu alichukuliwa msukule na baada ya kuumwa vikali kichwa na kupelekwa hospitali na mwishowe 'kufa' kimsukule
Anadai...
HABALI NDUGU BUNDALA, ZILENAFAC ZAJESH JKT ULIZOHITAJI ZIMEPATIKANA UPATAPO SMS HII TUWASILIANE.
Tapeli huyu jamani
Namba yake:0764573233
Haya mambo ya utapeli yanasababishwa na tcra na mitandao...
Wote ni Watoto wa Wanasiasa Waandamizi kabisa nchini Tanzania na nimebahatika kwa umakini kabisa kusikia Viingereza vyao na kama ikitokea kati ya Mtoto wa Mzee Maghembe na Mtoto wa Mzee Masha wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.