Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kiukweli tokea ateuliwe kushika nafasi ya Nape Nnauye Waziri mpya wa Michezo Dkt. Harisson Mwakyembe kila anapokuwa anazungumza na Wanahabari namwona ni ' Mpayukaji ' zaidi badala ya kuwa '...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Picha zinajieleza Akiwa na Mhe Katibu wa Wizara ya maji Wakati wengi wanaendekeza propaganda ktk mitandao, watu makini wapo wanachapakazi. Kelele zooote hatimaye upepo umetulia sasa tunachapa...
7 Reactions
28 Replies
4K Views
Salam wakuu. Naomba kuuliza taratibu au njia sahihi ya kuuziana gari mtaani kupitia hii mitandao ya kijamii na blogs kama KUPATANA, ZOOM Tanzania jobs etc ili kuepuka kutapeliwa. Unaanza kutoa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo TBC1 wamekiuka makubaliano ya jukwaa la wahariri kwa kutangaza habari ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam. Itakumbukwa kuwa Jukwaa la wahariri lilitangaza kutotangaza taarifa za mkuu wa mkoa wa...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Container storage charges at Dar port to be raised By CHRISTINE AFANDI Special Correspondent THE EAST AFRICAN The Tanzania Ports Authority (TPA) is to increase storage charges for all...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Watu 9 wanahofiwa kufa maji huku wengine 44 wameokolewa baada ya Mashua yao ya uvuvi kuzama nje ya Pwani ya Kisiwa cha Zanzibar. ======== Nine people are missing and 44 have survived after their...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amteua Dkt. Respicious Boniface kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI).
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Siyo kitu cha kawaida MTU kwenda mahakamani kwa lengo LA kubadili majina yake na kuamuwa kuyaacha/ kuyakana yale majina ambayo alipewa na wazazi wake. Haiingii akili kabisa itokee mfano Mimi MTU...
0 Reactions
4 Replies
980 Views
Baraza la Sanaa Taifa ‘BATASA’ limerudi tena na kuufungilia wimbo ‘Wapo’ wa Nay wa Mitego kwa madai waliufungia ili kupisha uchunguzi wa kipolisi upite baada ya jeshi hilo kumshikilia rapa huyo...
3 Reactions
56 Replies
8K Views
Akiwa katika ziara ya kutembelea shule ya sekondari Dunda katika muendelezo wa ziara zake maeneo mbalimbali wilayani Bagamoyo, Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo, mh. Majid akiongea na watumishi wa shule...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa aina ya Heshima uliyokuwa nayo hasa iliyotengenezwa vizuri kabisa na Marehemu Baba yako ambaye pia alikuwa ndiyo Baba yetu mpendwa wa Taifa Mwalimu Julius Burito Kambarage Nyerere bila kusahau...
18 Reactions
60 Replies
11K Views
Wanakosa umakini kisa kutawaliwa na kuendekeza ubinafsi. Kila siku wanahubiri democracy kumbe wenyewe wala hawaijui, wala hawaitaki hiyo democracy. Iweje kwenye uchaguzi wa BUNGE LA AFRIKA...
1 Reactions
1 Replies
587 Views
Kwa mara ya kwanza najitokeza kukuunga mkono raisi Magufuli kwa kukataza kusafirishwa nje ya nchi mchanga ulio na madini mbalimbali hususani dhahabu. Nimewahi kuchimba na kufanya kazi hapo...
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Anaitwa Hassan Mga kijana kutokea Mbeya, anadai mwaka 2003akiwa darasa la tatu alichukuliwa msukule na baada ya kuumwa vikali kichwa na kupelekwa hospitali na mwishowe 'kufa' kimsukule Anadai...
1 Reactions
100 Replies
18K Views
HABALI NDUGU BUNDALA, ZILENAFAC ZAJESH JKT ULIZOHITAJI ZIMEPATIKANA UPATAPO SMS HII TUWASILIANE. Tapeli huyu jamani Namba yake:0764573233 Haya mambo ya utapeli yanasababishwa na tcra na mitandao...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Wote ni Watoto wa Wanasiasa Waandamizi kabisa nchini Tanzania na nimebahatika kwa umakini kabisa kusikia Viingereza vyao na kama ikitokea kati ya Mtoto wa Mzee Maghembe na Mtoto wa Mzee Masha wote...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamvi! Naomba kujuzwa nauli za kwenda Tukuyu from Dsm hasa basi la Rungwe Express. Very urgent wakuu. Thanks.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Sasa ni rasmi hata hawa tuliowathamini watutengeneze vyeti vya kuzaliwa watoto wetu wameanza kufanya dili. Ni wiki ya pili sasa watu wanaambiwa nenda rudi nenda rudi. Tunaomba mamlaka husika, Mkuu...
0 Reactions
2 Replies
949 Views
Africa ni Bara la pili kwa idadi ya watu Duniani baada ya Bara la Asia. Wananchi wengi wa Kiafrika wanapitia maisha magumu kiasi cha wengine kuishia kupata mlo mmoja tu kwa siku. Haihitaji kuwa na...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Back
Top Bottom