Watanzania tuache kuvamia fani za watu!

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
5,023
4,831
WATANZANIA TUACHE KUVAMIA FANI ZA WATU!

Yaani sasa Tanzania yetu imevamiwa na wavamia fani za watu!
Utakuta mwalimu sasa ndiye engineer wa majengo yote ya shule, yaani ni kuleta mafundi kwenda mbele! .............Wauzaji wa maduka ya madawa ndio madaktari wetu siku hizi!
YAANI MAMBO NI SHAGHALABAGHALA!

LAKINI fani inayotaka kuvunja rekodi ya kuvamiwa ni fani ya wachekeshaji maana naona si muda mrefu 'Masanja mukandamizaji' na wenzie wataenda likizo kabisa! YAANI SASA WATU WANATAKA KUCHEKESHA HADI WAFU! ('MLASECHA NA BHACHILE!')

Yaani utakuta mtu anakemea watu kwa kosa la kufoji vyeti huku na yeye akivamia fani ya uchekeshaji bila leseni ya uchekeshaji, yaani duuuh!

kivumbi-01-png.484283


NOMA SANA! :cool::cool::cool: :eek::eek: :D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D!
172460.jpg


Lakini hebu twende mbele na turudi nyuma kidogo, "HERI YA WACHEKESHAJI MAANA WATAIONGOZA NCHI KWENYE SHANGWE!"
MRADI TU TUYAFANYE YOTE KWA ROHO SAFI!

TUBISHANE MPAKA NA MAPANGA TUSHIKIANE LAKINI KWANZA TUMFUKUZE SHETANI!

NB!
1) "MIMI NI MSUKUMA MTANI WA WASUKUMA", hebu mwambie na jirani yako!
2) Sorry! "MIMI NI MTANZANIA MTANI WA WATANZANIA", hebu muambie na jirani yako!

3) HII DUNIA SIJUI INAENDA WAPI, MAANA INAVYOELEKEA HAYA MAMBO SIO BONGO TUU!

'South Park' creators explain why it's too hard to make fun of Trump: 'Satire has become reality'

 

Attachments

  • kivumbi 01.png
    kivumbi 01.png
    645.4 KB · Views: 89
Back
Top Bottom