Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari ndugu, Nimekuwa nasafiri mara kwa mara kwenda au kutoka mikoani kutokana na kazi ninayoifanya, ila nikiwa njiani nikikatiza kwenye mapori mbalimbali hapa Tanzania nimegundua kuwa tuna...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Inanikumbusha zamani unakuta umefanya kosa kubwa lakini mzazi hana hata shida na wewe hata kutuma dukani anamtuma mtoto wa jirani hata chakula kikiiva huitwi ila unaweza kwenda kupakua mwenyewe...
5 Reactions
40 Replies
6K Views
The ongoing attacks on foreigners in South Africa (xenophobia) is a miasma of deprecable apothesis of hemorrhaging plutocracy cascadingly oozing into a malodorous excresence of mobocracy.With all...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mbio za Mwenge wa uhuru mwaka 2017 zimeshindwa kuzindua mradi wa ufugaji wa nyuki katika kijiji cha Kaseganyama wilayani Tanganyika mkoani Katavi baada ya mizinga ya nyuki kuteketezwa kwa moto na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo Tarehe 4 Mwezi wa nne asubui hii, polisi wa Mwenge wamepiga risasi tatu hewani, wakiwa wanatekeleza amri ya Mkuu wa wilaya ya Kinondoni ya kuzuia magari ya wakazi wa mwenge na wafanyabiashara...
4 Reactions
81 Replies
8K Views
JINSI YA KUTAWALA UCHUMI KIPINDI CHA JPM. -NA Mr Erick J Shigongo - 1.MANTAIN FOCUS AND HAVE POSITIVE MENTAL ATTITUDE. -Pamoja na yote yanayotokea usibadilishe...
12 Reactions
36 Replies
4K Views
Baada ya pale nimeanza kusikia habari kamili za wananchi kutoka kwao Clouds sio zile tena
2 Reactions
5 Replies
1K Views
YANAYOSABABISHA HALI NGUMU MITAANI NI HAYA. Waraka wa BASHIR YAKUB +255784482959. 1. Kuziba kwa mianya ya wizi bandarini. Kama tunasema bandari pekee ikitumika vizur inaweza kuilisha Tanzania...
10 Reactions
16 Replies
2K Views
Huyu Dr. Lenny Kasoga ni mnafiki. Anafika hapa Msasani mara nyingi sana pretending to be a great friend of the family. I do not understand this. Why this person should indulge in such tom foolery.
7 Reactions
69 Replies
14K Views
Nimepokea Malalamiko ya baadhi ya watu wakilaani Tabia Mbovu waliyotetendewa wakiwa Safarini, Labda ni Jambo Geni...... Kuna tabia ambayo si Nzuri sana inayofanywa na Hawa jamaa wa Usimamizi...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Wale watani wangu wa kule Mara wana mila yao moja wanaita nyumba ntovhu. Nyumba ntovhu ni pale mwanamke anamuoa mwanamke mwenzie mara nyingi inakuwa msichana ambaye hajazaa anakuwa mke wake...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sylivester Rwegasira na Rashid Salehe (R.I.P) wote wawili kwa nyakati tofauti walijaribu kupigania haki za wenzao wakiwa makatibu wakuu. Kwa bahati mbaya wote wawili kwa nyakati tofauti walitutoka...
5 Reactions
26 Replies
4K Views
Familia ya Apolinary Gaspar wa Nyamigere kata ya Kalenge wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera, inawatangazia kifo cha mtoto wao Bahati Apolinary kilichotokea jana (03.04.2017). Mazishi yatafanyika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna habari zilizoko chini ya viunga vya watawala zinasema watu wa ‘’kitengo’’ wameamua kulifanyia kazi suala la Mchungaji Gwajima, Clouds Media International na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...
7 Reactions
56 Replies
8K Views
Tuchukulie wale tulio na unasaba nao wa karibu zaidi kama Sokwe mtu, nyani nk.
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Kwa muda mrefu kumekuwa na sintofahamu kati ya TFDA na TBS hasa ktk kutoa vyeti vya ubora na usalama wa vyakula na madawa. Kila shirika lina viwango vyake na vyote ni gharama kwa mfanyabiashara...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
"Tumefanikiwa kutoa mafunzo ya Ujasiliamali bure kwa Wananchi 5000 wa Kinondoni"
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amemrudishia uanachama aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, Leticia Mosore na kumruhusu kuendelea na wadhifa wake katika chama...
2 Reactions
2 Replies
841 Views
Back
Top Bottom