Miaka kumi ijayo Dodoma kuwa makao makuu ya bajaji Tanzania

ARIZ

Senior Member
Apr 1, 2017
102
79
Wadau mimi niliwahi mkoa wa Dodoma tangu 1989 na niliondoka 2008 Kwa miaka name ningerudi nimekuta utitiri wa bajaji hadi mji umechafuka nijaribu kuangalia miaka kumi mbele sipati picha.
Hivi ili kuwekana mji wetu katika utaratibu hatuwezi kuziwekea mipaka?
Nawasilisha.
5f35c1625e52ab5e1f1fc0eac25e600a.jpg
 
Makao makuu ya CCM,what do you expect?
Mtaji wa ccm nu ujinga na umaskini ,ndio maana wamekimbia Dar
 
Wadau mimi niliwahi mkoa wa Dodoma tangu 1989 na niliondoka 2008 Kwa miaka name ningerudi nimekuta utitiri wa bajaji hadi mji umechafuka nijaribu kuangalia miaka kumi mbele sipati picha.
Hivi ili kuwekana mji wetu katika utaratibu hatuwezi kuziwekea mipaka?
Nawasilisha.
5f35c1625e52ab5e1f1fc0eac25e600a.jpg
Mbona bajaji mbili tu. Naona unafaudu uroda kwenye hard top:p
 
Back
Top Bottom