Kwa hali hii ya Uchumi benki ipi salama kufungulia akaunti

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,388
24,947
Habari wakuu


Kutokana na uhalisia wa uchumi na usalama wa fedha naomba kujuzwa benki nzuri na salama kuhifadhi fedha.


Regards..
 
Back
Top Bottom