Kituo kipya cha Huduma kwa Wateja cha Tigo.

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
828
29374e48ac329cec85d13b59ca41e3e0.jpg

Kituo kipya cha Huduma kwa Wateja cha Tigo.[HASHTAG]#TigoCallCentre[/HASHTAG]
Kituo hiki kipo jengo la Uhsino mkabala na Morroco Square Dar es Salaam karibuni.
19f4830011cfe104ddc5db3dc58080d7.jpg

Huduma zipatikanazo kwenye Huduma kwa Wateja namba 100.
 
...Nitafurahi endapo hawa jamaa wataongezewa mshahara, maana kazi wanayoifanya kwa siku ni kubwa kulinganisha na fedha wanayoipokea mwisho wa mwezi duh...waswahili wanasema kazi tembo mshahara sisimizi hah hah
 
  • Thanks
Reactions: SDG
mbona siku hizi hamnaga zile dk elf 300,gb 10 kwa miezi 3 kwa 30thousands only au ilikua magumashi.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Bila shaka kituo kitakuwa na huduma tofauti na kile cha Gold star kinaitwa Nkurumah kama cjakosea. Maana ukienda pale asilimia kubwa ya wafanyakazi ni vi.laza sana yaani wanataka wakuhudumie kwa kutumia hisia na sio facts coz mtu unaelezea tatizo lako yeye anaenda kwenye conclusion anayoifikiria yeye imenitokea zaidi ya mara moja hata nikipata tatizo siwezi kujisumbua kwenda pale
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom