Ajali: basi la Safari Njema : Dar - Dom

Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
9,428
27,070
Hello wanajamvi,


Inasemekana kumetokea ajali eneo la RUVU RANCHI,

Ajali hii imehusisha basi la SAFARI NJEMA, lilikua likifanya safari toka DAR kwenda DODOMA.

Hakujaripotiwa taarifa zozote za kifo.

4aa68ca065609cac73a40c4c1c37cb6d.jpg
78f5b8eef634289ca3b3e5569f45ea80.jpg
5d29f88847b960561a298012c0886d41.jpg


25493a3721e2e618e71bcb73ef071b1e.jpg
.

eab7777a9911b296c597aa533ef37682.jpg

Chanzo cha ajali, hakijajulikana.



Pia, inasemekana basi la kampuni ya TASHRIF lilikokua likifanya safari kutoka DAR kwenda TANGA, lilipata ajali jana usiku maeneo ya ZENETI ,

Pia hakuna taarifa ya kifo , ila palikua na majeruhi wachache tu waliopata michubuko na mishtuko.
Chanzo cha ajali: Mwendokasi

Source: RSA TANGA REGION
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Safar njema naigopa san

Ashukuruwe Mungu kama hakuna vifo
 
Back
Top Bottom