CCM itatumia nyimbo gani kwenye kampeni 2020?

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
264
379
Leo nimekaa na kuwaza nyimbo gani itatumika na CCM 2020 kipindi cha kampeni
nyimbo ambayo itatupa matumaini Wananchi. 2015 tuliimbiwa CCM ni ileile, tutaisoma namba tukapuuza. Leo namba inasomeka kweli kweli tena namba za kiyunani.

NAWAZA TU.
 
Wewe turia tu kuna watu wako pale ToT wakipewa tu ulaji watakuja na ngoma nyingine kudanganya wananchi.
 
Si dhani Kama Ni muhimu kuwaza kuhusu wimbo wa CCM hapo 2020 wakati kuna mambo muhimu ya kuwaza kwa sasa!!
Ongeza kipato chako mkuu Na cha familia yako! Au Kama unadhani kipato chako Na cha familia yako Ni kikubwa tayari basi angalau waza jinsi gani utamsaidia hata jirani yako naye akuze kipato chake!!
Mambo ya CCM muachie Magufuli Na ya CDM muachie Mbowe, hao huko nao wanakuza vipato vyao!!!
 
Mafuriko nayo yatakuwepo 2020? Maana Dili nyingi zilizokuwa zinagharimia Yale Maigizo zimetangulia mbele za haki
 
Kuna wimbo mpya wa joni makini na genge lake. Pamoja na ule wa nehi mitego.:D
 
Back
Top Bottom