Radio Tanzania (RTD) mnatatizo gani?

Radio Tanzania (RTD) mnatatizo gani?

K M S

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2016
Posts
524
Reaction score
424
Habari wakuu!! Napata tabu binafs kuamini kua radio tanzania ni redio ya Taifa kwa jinsi wanavyoenda hii ndo redio inyoendeshwa kwa kodi zetu lakini haina faida na ss kwa ss bunge limeanza na wao ndo wenyedhamana ya kutujuza nn kinachoendelea bungeni tangu majuzi binafsi siwapti kama mmeshindwa si muuwaachie wanao weza warndeleee mnang'ang'ania nini kuwazuia wengine wakati nyie hamjitoshelezi. Tutendeeni haki kama mmedhindwa tokeni
 
Mkuu hivi msamiati wa uchochezi bado hujauelewa???
 
Habari wakuu!! Napata tabu binafs kuamini kua radio tanzania ni redio ya Taifa kwa jinsi wanavyoenda hii ndo redio inyoendeshwa kwa kodi zetu lakini haina faida na ss kwa ss bunge limeanza na wao ndo wenyedhamana ya kutujuza nn kinachoendelea bungeni tangu majuzi binafsi siwapti kama mmeshindwa si muuwaachie wanao weza warndeleee mnang'ang'ania nini kuwazuia wengine wakati nyie hamjitoshelezi. Tutendeeni haki kama mmedhindwa tokeni

Hivi kwanini Watanzania tunakuwa ' wazembe ' na ' wapuuzi ' hivi? Hivi leo tuna kitu kiitwacho Radio Tanzania Dar es Salaam ( RTD ) ?
 
Kwa mfano hapa moshi hiyo redio haisikiki kabisa wala haipo na sidhani kama wahusika wanalijia hilo
 
Hivi kwanini Watanzania tunakuwa ' wazembe ' na ' wapuuzi ' hivi? Hivi leo tuna kitu kiitwacho Radio Tanzania Dar es Salaam ( RTD ) ?
Sidhani kama kuna upuuzi hapo hata ukiita
Tbc bado inabaki kua na maana ileile ni radio taifa
 
Mbona hakuna Redio Tanzania nchi hii au Unamaanisha TBC Taifa.
Nihaohao nimeona bora niwaite hivyo maana wanayoyafanya ni miaka hiyo walipokua najina hilo
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kweli maisha magumu hadi watu wanakumbuka radio za kale
 
Km bdo unaamin radio tanzania ina exist bas nawaza kwa vidole itakua ndio walewale wanaoamin mwalim Nyerere bdo yuko daressalaam!!!
 
Habari wakuu!! Napata tabu binafs kuamini kua radio tanzania ni redio ya Taifa kwa jinsi wanavyoenda hii ndo redio inyoendeshwa kwa kodi zetu lakini haina faida na ss kwa ss bunge limeanza na wao ndo wenyedhamana ya kutujuza nn kinachoendelea bungeni tangu majuzi binafsi siwapti kama mmeshindwa si muuwaachie wanao weza warndeleee mnang'ang'ania nini kuwazuia wengine wakati nyie hamjitoshelezi. Tutendeeni haki kama mmedhindwa tokeni
Upo Tanzania kweli?
 
lbda chereko ndo inatija kwa wa tz wameona..
 
Inasikika mikoa michache sanaa... Mi huiskia tu Dodoma.
 
Kweli watanzania mnamoyo wakuu wenyewe haaifatilii wanaangalia na kusikiliz ile ya mawingu kina shilawadu
 
Back
Top Bottom